ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TANGA: WAZIRI JAFO: SERIKALI KUJENGA VIWANDA VIPYA 9,048

Автор: Tanga Tanzania TV

Загружено: 2025-08-21

Просмотров: 103

Описание: SERIKALI inakusudia kujengwa viwanda vipya 9,048 vitakavyotoa ajira zaidi ya milioni 6.5 ifikapo 2030.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe Dkt Selemani Jafo, ameyasema hayo jana Agosti 20, 2025, alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Nne wa Chama cha Maafisa Biashara Wanawake Tanzania (TAWTO), unaofanyika mkoani Tanga.

Amesema ujenzi wa viwanda hivyo ni sehemu ya juhudi za kukuza uchumi wa taifa kupitia sekta hiyo muhimu kwa ukuzaji wa teknolojia, uzalishaji na ajira.

Mhe Dkt Jafo amesema dhamira ya Serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji nchini, na kuongeza uzalishaji wa viwandani.

Kwa mujibu wa Jafo, Serikali imejipanga kuhakikisha mazingira ya uwekezaji yanaboreshwa na viwanda vipya vinaanzishwa kwenye maeneo mbalimbali, ili kuongeza ajira na kukuza uchumi wa nchi.

Aidha, Mhe Dkt Jafo amesema Wizara ya Viwanda na Biashara kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inatatua changamoto zinazowakabili Maafisa Biashara nchini, ikiwemo uhaba wa vitendea kazi.

Alisisitiza kuwa kundi hilo halipaswi kubezwa, kwani linachangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya uchumi wa nchi.

“Ni lazima tuwape thamani stahiki Maafisa Biashara. Hawa si ‘spare tyre’ (tairi ya ziada) bali ni sehemu muhimu ya maendeleo ya uchumi wetu,” akasema.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe Balozi Dkt Batilda Burian, amesema pamoja na changamoto za kiuchumi zilizowahi kusababisha kufungwa kwa baadhi ya viwanda mkoani humo, juhudi za kuvifufua zimeanza kuzaa matunda.

Mhe Balozi Dkt Batilda, amesema Tanga imejipanga kuanzisha viwanda vipya vikiwemo vya magari ya wagonjwa na vya kusindika samaki.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa TAWTO, Elizabeth Swagi, alisema chama hicho kitaendelea kuwawezesha wajasiriamali wadogo kwa kuwapatia elimu ya sheria, miongozo na taratibu za biashara ili washiriki ipasavyo katika uchumi wa taifa.

Mkutano Mkuu wa Nne wa Chama cha Maafisa Biashara Wanawake Tanzania (TAWTO) una kaulimbiu mbiu inayosema, “Mwanamke Mpambanaji ni Nguzo ya Maendeleo ,Tushiriki Vyema Uchaguzi Oktoba.” #tanga

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TANGA: WAZIRI JAFO: SERIKALI KUJENGA VIWANDA VIPYA 9,048

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

🔴LIVE:MTANDAO WA UTAPELI WANASWA/YANGA NI REKODI, AZAM SARE TENA/BADO MOJA DUBE, OKELLO WANEGESHA

🔴LIVE:MTANDAO WA UTAPELI WANASWA/YANGA NI REKODI, AZAM SARE TENA/BADO MOJA DUBE, OKELLO WANEGESHA

Tanga UWASA yateta na Madiwani maendeleo ya upatikanaji huduma Tanga Jiji

Tanga UWASA yateta na Madiwani maendeleo ya upatikanaji huduma Tanga Jiji

Союзник Путина убит / Приказ на ответный удар

Союзник Путина убит / Приказ на ответный удар

LIVE 🔴 JOTO LA ASUBUHI  -  MARCH 06  2026

LIVE 🔴 JOTO LA ASUBUHI - MARCH 06 2026

Война в Заливе: Кремль объявил Трампа врагом — теперь всё зависит от Ирана/№1105/ Юрий Швец

Война в Заливе: Кремль объявил Трампа врагом — теперь всё зависит от Ирана/№1105/ Юрий Швец

BBC SWAHILI HALI INAZIDI KUWA TETE MASHARIKI YA KATI

BBC SWAHILI HALI INAZIDI KUWA TETE MASHARIKI YA KATI

🤯Не УСПЕЛ Путин ОТВЕТИТЬ ПО Ирану, а Трамп ОБЪЯВИЛ НОВУЮ войну! АТАКА ДУБАЯ дронами РФ. Важное 05.03

🤯Не УСПЕЛ Путин ОТВЕТИТЬ ПО Ирану, а Трамп ОБЪЯВИЛ НОВУЮ войну! АТАКА ДУБАЯ дронами РФ. Важное 05.03

"СРОЧНАЯ ЭВАКУАЦИЯ! Детей Кадырова ЗАДЕРЖАЛИ. В Чечне переполох: будущее клана Рамзана ТУМАННО"

⚡️ Крупнейший захват украинских заложников || Колонна танков зашла в регион

⚡️ Крупнейший захват украинских заложников || Колонна танков зашла в регион

LIVE: CLOUDS 360 NA SUALA LA GHARAMA ZA MABANDO ,INTERVIEW NA ZUNGU I 06.03.2026.

LIVE: CLOUDS 360 NA SUALA LA GHARAMA ZA MABANDO ,INTERVIEW NA ZUNGU I 06.03.2026.

Լևոն Քոչարյանը նրանց համար ընդունելի թեկնածու չէր․ Հովսեփ Խուրշուդյան

Լևոն Քոչարյանը նրանց համար ընդունելի թեկնածու չէր․ Հովսեփ Խուրշուդյան

AZERBEJDŻAN ZAATAKOWANY, IRAN PŁONIE, CENY ROPY W GÓRĘ

AZERBEJDŻAN ZAATAKOWANY, IRAN PŁONIE, CENY ROPY W GÓRĘ

Первые ЯДЕРНЫЕ РАКЕТЫ Ирана В БОЮ! Орешник РАЗНОСИТ Тегеран: ПРВДА о Kheibar. США приказали БОМБИТЬ

Первые ЯДЕРНЫЕ РАКЕТЫ Ирана В БОЮ! Орешник РАЗНОСИТ Тегеран: ПРВДА о Kheibar. США приказали БОМБИТЬ

⚡АСЛАНЯН: Турция ПОД УДАРОМ РАКЕТ: Эрдоган В ЯРОСТИ! Ирану КОНЕЦ. Путин ОТДАЛ ПРИКАЗ. Трамп ОЗВЕРЕЛ

⚡АСЛАНЯН: Турция ПОД УДАРОМ РАКЕТ: Эрдоган В ЯРОСТИ! Ирану КОНЕЦ. Путин ОТДАЛ ПРИКАЗ. Трамп ОЗВЕРЕЛ

Тревога! Если ты украинец — это касается тебя прямо сейчас! По приказу МВФ вводят диктатуру!

Тревога! Если ты украинец — это касается тебя прямо сейчас! По приказу МВФ вводят диктатуру!

Kilimo bora cha Vitunguu maji -   Part 2

Kilimo bora cha Vitunguu maji - Part 2

AWESO KUMPELEKEA MAJI MWAKIOJA MKINGA: AMEKABIDHI MABOMBA YA MAJI KWA AJILI YA KUKAMILISHA MRADI

AWESO KUMPELEKEA MAJI MWAKIOJA MKINGA: AMEKABIDHI MABOMBA YA MAJI KWA AJILI YA KUKAMILISHA MRADI

JAKUBIAK: ZEŁEŃSKI SIĘ WYSYPAŁ! Ten mechanizm służy Ukrainie, a nie Polsce! Michał Rachoń

JAKUBIAK: ZEŁEŃSKI SIĘ WYSYPAŁ! Ten mechanizm służy Ukrainie, a nie Polsce! Michał Rachoń

🔥ПОРТНИКОВ: Под ударом Европейские столицы – ПЛАН путина начал действовать! Иран уже нацелился на...

🔥ПОРТНИКОВ: Под ударом Европейские столицы – ПЛАН путина начал действовать! Иран уже нацелился на...

Wojna jest teraz w Moskwie: Miliony w panice, Ukraina uderza w stolicę Rosji i 13 regionów

Wojna jest teraz w Moskwie: Miliony w panice, Ukraina uderza w stolicę Rosji i 13 regionów

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]