BIASHARA CHUPA ZA PLASTIKI: AKISI YA HARAMU KWAKO HALALI KWANGU YAWAINUA WAHITAJI
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2025-05-23
Просмотров: 365
Описание: Makopo ama taka Mali kwa Lugha ya Mijini, ni uchafu unaoleta athari kutokana na ugumu wake wa kuoza baada ya kutupwa, na wakati mwingine huchangia uchafuzi mkubwa wa Mazingira baharini, lakini changamoto kubwa ni baadhi ya watu kudhani kuwa waokota Makopo ni watu punguani au Mataahira. Je hao ni kina nani? maswali hayo na mengine mengi, yamejibiwa katika simulizi ya makala hii#tmcnews565#dodoma#mazingira#jijiladodoma#chupazaplastiki#furrsakwawaokotamakopo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: