WADAU WA KEMIKALI WAFUNGUKA JINSI GCLA INAVYOWEZESHA UTENDAJIKAZI WAO
Автор: MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI-GCLA
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 58
Описание:
Baadhi ya wadau wa Kemikali wameipongeza Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwa kutoa huduma bora na kwa wakati, wametoa pongezi hizo walipoalikwa kutoa mrejesho wa huduma kwa mteja katika Mkutano wa mwaka wa wakaguzi wa Kemikali na Maabara za Kemia uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa hoteli ya Cate mkoani Morogoro
Tufuatilie kwenye mitandao yetu ya kijamii
https://www.instagram.com/gcla_offici...
https://www.facebook.com/gcla.tanzani...
https://x.com/Gcla1895?t=VkwSWrVp6aGG...
https://www.gcla.go.tz
/ @gcla_tv
©2026 GCLA
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: