SABAYA AACHIWA NA WENZAKE KWENYE KESI YA UNYANG'ANYI, ASOMEWA MASHTAKA UPYA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-07-16
Просмотров: 161672
Описание:
Kesi ya jinai namba 66 ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa DC wa Hai, Lengai ole Sabaya,Silvester Nyegu na Daniel Mbura imeondolewa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Arusha na kupelekea Watuhumiwa kuachiwa huru.
Wakili wa Serikali Tumaini Kweka ameiomba Mahakama hiyo kuondoa shauri hilo kwenye Mahakama hiyo ya Wilaya ya Arusha.
Hakimu Mkuu Mkazi Mfawidhi aliyekuwa akisikiliza kesi hiyo Odira amolo amewaachia huru Watuhumiwa hao watatu baada ya upande wa Jamhuri kuondoa shauri hilo Mahakama.
Wakati Wakili wa Serikali akitamka kuondoa kesi hiyo alisema kwamba atafungua kesi nyingine katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Arusha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: