MKUU wa UPELELEZI AMKANA SABAYA - "HAKUA na KIBALI KUFANYA OPERATION NDANI ya MKOA HUO"...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2021-08-05
Просмотров: 66344
Описание:
MKUU wa UPELELEZI AMKANA SABAYA - "HAKUA na KIBALI KUFANYA OPERATION NDANI ya MKOA HUO"
Kesi no 105/2021 Kesi ya Jinai Unyang"anyi wa ktumia Silaha Jamuhuri dhidi ya Lengai Ole Sabaya ,Silivester Nyegu na Daniel Mbula hatimaye kesi hiyo leo imeendelea kusikilizwa leo katika mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Arusha Baada ya siku ya Jana Hakimu Mwandamizi Odira Amworo kuahirisha Kesi hiyo kutokana na Mshitakiwa namba moja Lengai Ole sabaya Kuugua Ghafla akiwa Mhabusu Gereza kuu la Arusha.
Kwa siku ya Leo upande wa jamuhuri walimpandisha shahidi wa Saba katika
Kesi hiyo ambae ni Mkuu wa Upelelezi Wilaya ya Arusha Afande Gwakisa .
Gwakisa aliieleza mahakama kuwa siku ya tukio 9.2.2021 Sabaya hakuwa na kibali chochote kwa ngazi ya Mkoa na wilaya kutoka kwa vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo mruhusu kufanya operation yoyote ndani ya
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY: http://shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: