VILIO VYATANDA MAPOKEZI YA MWILI WA MTANZANIA ALIYEISHI MAREKANI KIMODOI,TAZAMA MAPOKEZI YAKE BUKOBA
Автор: BUKURU MERA TV
Загружено: 2025-04-20
Просмотров: 13255
Описание:
Mwili wa Marehemu Justin J. Kimodoi umefika leo, tarehe 20 Aprili 2024, katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba. Mwili huo umepokelewa na wakazi wa Bukoba Mjini pamoja na wa maeneo ya viunga vyake kwa heshima kubwa na majonzi.Kimodoi alikuwa mdau mkubwa wa maendeleo na kaacha alama katika jamii,Roho yake ilazwe mahara pema peponi,Amen.
Tunaendelea kuwaombea wafiwa faraja na nguvu katika kipindi hiki kigumu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: