MAKUBWA !! MAPOKEZI YA JUSTIN
Автор: Bukobawadau Live
Загружено: 2025-04-20
Просмотров: 1870
Описание:
Hivi ndivyo hali ilivyikuwa Kuwasili Mwili wa Kimodoi BUKOBA ni huzuni Ndani ya Mioyo ya Watu WENGI ,Watu wanamlia Kimodoi mpenda Watu, Mwanamapinduzi aliyekuwa mkweli kwa aliloamini kuwa ni sahihi.Alikuwa muwazi na mpenda maendeleo ya Bukoba na Tanzania.Hakuwa mnafiki na alipenda kukosoa pale alipohisi kwamba pamekwenda ndivyo sivyo.Mungu aipumzishe roho ya Kimodoi mahali pema peponi
Umetangulia Mwamba #shujaa
#Kilio #KageraYetu #BukobawadauMatukio
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: