OMO afanya ziara kisiwani Pemba
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2022-04-19
Просмотров: 2089
Описание: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Othman Masoud Othman amewasili kisiwani Pemba kwa Ziara ya siku nne. Tayari katika siku ya kwanza ya ziara hiyo amezungumza na wanafunzi wa Skuli ya Utaani, amepita masokoni pamoja na kuonana na viongozi wa chama na serikali.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: