Ziwa Turkana limefurika na kusababisha hasara
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-09-16
Просмотров: 1478
Описание: Zaidi ya wakazi elfu tatu wanaoishi katika vijiji vitatu ufuoni mwa Ziwa Turkana wanahitaji msaada wa dharura baada ya kupoteza makao yao. Hii ni baada ya Ziwa Turkana kufurika na kuingia majumbani mwao. Shule nne za msingi na makanisa kadhaa pia yamefurika. ziwa Turkana linafurika huku kiangazi kikali kikishuhudiwa katika baadhi ya maeneo ya Turkana
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: