Ziwa hatari kwa watoto Turkana
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-01-02
Просмотров: 2970
Описание: Visa vya watoto wadogo kuzama majini wakiogelea fuoni mwa ziwa Turkana vimeongezeka huku na wazazi wakitakiwa kutowaaacha watoto wao kuogelea wenyewe. Mwezi uliopita, tarehe 21, 24 na 26, watoto kadhaa waliokolewa kabla ya kufa maji katika ufuo wa Eliye springs.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: