DK BASHIRU ABAINISHA MIKOPO KWA WAFUGAJI, VITUO 23 VYA MAZIWA VYAZINDULIWA BUKOBA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 407
Описание:
KAGERA: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dk Bashiru Kakurwa, amezindua vituo 23 vya kukusanyia maziwa vilivyojengwa kupitia Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), na kuwataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya kuanza kutoa mikopo kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa pamoja na wafugaji wa samaki wa vizimba ili kukuza sekta hizo.
Uzinduzi huo umefanyika katika wilaya za Bukoba, Muleba na Karagwe mkoani Kagera, ambapo Waziri Bashiru ameipongeza TADB kwa kuendelea kuwajali wafugaji na wakulima kwa kuwawezesha kuboresha uzalishaji wao.
Akizungumza na wananchi, Waziri Bashiru amesema wakurugenzi wa halmashauri wanapaswa kuhakikisha wanatoa mikopo kwa wafugaji wa ng’ombe wa maziwa na samaki wa vizimba ili kuwaondolea changamoto zinazowakabili na kuongeza tija katika uzalishaji
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: