Mamake mtaalam wa usalama Mwenda Mbijiwe azidiwa na hisia miaka mitano baada ya kutoweka kwake
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 1848
Описание: Hisia zilimzidi mamake mtaalam wa maswala ya usalama Mwenda Mbijiwe miaka mitano baada ya kutoweka kwake kwa njia tata. Jane Gatwiri akisema anaamini mwanawe yungali hai, akiitaka mahakama ya Milimani kuwaagiza maafisa wakuu wa usalama kumwasilisha mwanawe kortini.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: