Ushahidi dhidi ya John Matara unaendelea katika kesi ya mauaji ya mwanamtindo Starlet Wahu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 1923
Описание: Ushahidi katika kesi ya mauaji inayomkabili John Matara, anayetuhumiwa kwa mauwaji ya mwanamtindo, Starlet Wahu, uliendelea Jumatano huku mashahidi wakiendelea kumhusisha na tukio la mauwaji lililotokea Januari 2024. Mahakama ilielezwa kuwa wachunguzi walipata vitu binafsi vinavyodaiwa kuwa vya marehemu na mtuhumiwa eneo la tukio, vikiwemo sidiria, nguo ya ndani, pamoja na mipira ya kondomu zilizotumika
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: