Tengeneza New Project Kwa Mara ya Kwanza Kwenye PyCharm
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-03-25
Просмотров: 246
Описание:
Jinsi ya Kutumia PyCharm Kwa Mara ya Kwanza!🔥
Karibu tena kwenye channel yangu! 🎬 Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuunda mradi mpya (Create New Project) kwenye PyCharm kwa urahisi. Ikiwa wewe ndio umeanza safari yako ya kujifunza au tayari ni unafahamu vizuri kuhusu Python, hii ni hatua muhimu ya kuanza safari yako ya programming kwa kutumia PyCharm IDE. 🐍💻
🔹 Utajifunza:
✅ Jinsi ya kufungua PyCharm na kuunda mradi mpya.
✅ Jinsi ya kuchagua Python Interpreter sahihi kwa mradi wako.
✅ Jinsi ya kupanga folda na faili zako za Python kwa mpangilio mzuri.
✅ Jinsi ya kuandika code kwa mara yakwanza kwenye PyCharm.
✅ Jinsi ya Ku-Run code zako kwa mara ya kwanza.
Ikiwa utapenda video hii, usisahau kusubscribe, kubonyeza like, na kushiriki na marafiki zako wanaojifunza Python! 🚀✨
🔔 Jiunge na channel yangu kwa mafunzo zaidi ya Python!
📌 Subscribe sasa!
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉
📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.
🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya
🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: / @mohamedhafidh255
Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏
#pycharm #python #swahilitutorials
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: