Download na Install PyCharm katika Windows Hatua kwa Hatua
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-03-25
Просмотров: 135
Описание:
🔹 Jinsi ya Kupakua na Kusakinisha PyCharm – Mwongozo Kamili kwa watumiaji wa Windows 🔹
Karibu tena kwenye channel yangu!
🎬 Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kupakua(download) na kusakinisha(Install) PyCharm, moja ya IDE bora zaidi kwa Python. Ikiwa wewe ndio unaanza kujifunza au tayari ni mtaalamu, mwongozo huu utakusaidia kuanza haraka kwenye Windows. 🚀
📌 Yaliyomo kwenye Video hii:
✅ Mahitaji ya mfumo kwa ajili ya PyCharm
✅ Jinsi ya kupakua PyCharm (Community & Professional Edition)
✅ Kusakinisha PyCharm kwenye Windows
👉 Pakua PyCharm hapa: 🔗 https://www.jetbrains.com/pycharm/dow...
🔥 Video Zinazofuata:
📌 Jinsi ya Kutengeneza Project Mpya Kwa mara ya kwanza kwenye PyCharm
📌 Mafunzo zaidi ya Python na PyCharm – Hakikisha umesubscribe kwa mafunzo zaidi!
🔔 Usisahau!
✔️ Bonyeza LIKE ikiwa video hii imekusaidia
✔️ SUBSCRIBE kwa mafunzo zaidi ya Python na teknolojia
✔️ Washa notification bell 🔔 ili usikose video mpya
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉
📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.
🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya
🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: / @mohamedhafidh255
Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏
#pycharm #python #coding
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: