ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MKURUGENZI MTENDAJI NYASA AAGIZWA KUCHUKUA HATUA KWA WATUMISHI WAZEMBE

Автор: Site Tv Online

Загружено: 2025-06-18

Просмотров: 230

Описание: Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ametakiwa kuchukua hatua za kinidhamu mapema dhidi ya watumishi wote watakaosababisha hasara au hoja kutokana na uzembe kazini.

Agizo hilo limetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Bi Mary Makondo, wakati wa Baraza Maalum la kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2023/2024.

Bi Makondo amesema licha ya Halmashauri ya Nyasa kupata hati safi katika ripoti ya CAG, bado kulikuwa na hoja 41 zilizobainishwa, ambapo 24 kati ya hizo zimeshafanyiwa kazi na kufungwa, 10 zinaendelea kufanyiwa kazi huku hoja 12 zikisalia bila utekelezaji. Amesisitiza kuwa watumishi wanaohusika na uzembe wa kusababisha hoja hizo wachukuliwe hatua kali za kinidhamu ili kuepusha kurudia makosa hayo.

Aidha, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Ndugu Oddo Mwisho, amezitaka halmashauri zote mkoani humo kuwatumia kikamilifu wakaguzi wa ndani wa hesabu za serikali. Amesema hatua hiyo itasaidia kubaini mapema dosari za kiutendaji na hivyo kupunguza hoja katika ripoti za ukaguzi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MKURUGENZI MTENDAJI NYASA AAGIZWA KUCHUKUA HATUA KWA WATUMISHI WAZEMBE

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Tazama Ujenzi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda - Kibara.Usisahau kusubscribe

PEPO ZA KIHISTORIA WILAYANI NYASA KUTOKA MKOA WA RUVUMA

Rasmi Mstahiki Meya Manispaa ya Songea atangaza kuto gombea udiwani awaaga wananchi wa manispaa.

USHAURI, MASWALI NA MAJIBU, MAELEKEZO YA DC GOWELE KIKAO CHA BARAZA LA DDC

NYASA KUWA WILAYA YA MFANO TANZANIA

NYASA KUWA WILAYA YA MFANO TANZANIA

OSTATNI LOT! A-50 Putina zniszczony w wybuchu. KATASTROFA W POWIETRZU: Rosja w szoku

WAZIRI MKUU ANAZUNGUMZA NA WANANCHI WA LAELA-SUMBAWANGA

DC KYERWA ATOA RAI  KWA WAHESHIMIWA MADIWANI JUU YA UREJESHWAJI WA  MIKOPO YA 10%

TAZAMA WAZIRI WA KATIBA NA SHERIA DK HOMERA ALIVYOWASILI UWANJA WA NDEGE SONGEA.

#LIVE  : UFUNGUZI WA SITE TRUST FOUNDATION SONGEA.

BILIONI 145 KUJENGA MIUNDOMBINU YA BARABARA KATIKA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA

DCC MPANDA HALMASHAURI 2 YAONGEZA BAJETI YA MAPATO YA NDANI KUFIKIA BIL.7.5

TANESCO KATAVI WAKABIDHIWA GARI KUBWA MPYA TANI 7

MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA AWAAGA TIMU YA WACHEZAJI CHUNYA DC

🔴 СРОЧНО АВИАУДАР ПО МИТИНГУ В ИРАНЕ, БАЛЛИСТИКА ПО ТУРЦИИ #новости #одиндень

TANESCO MTWARA YAWAKAMATA WATU WAWILI KWA KUJIUNGANISHIA UMEME  KWA NJIA ISIYO RASMI

Piloci B-1 z USA dokonali niewiarygodnego ataku na Iran

ZAMACH NA POLSKIE ZŁOTO? Tusk odrzuca 200 mld z NBP - woli niemiecki kredyt! „To pętla na 50 lat!''

BIBI APEWA RUKSA NA WAZIRI MKUU ATAJE PESA ANAYOTAKA KULIPA BAADA YA AFISA ARDHI KUSHINDWA KUONGEA

AKAMATWA AKIWA NA MITA ZA TANESCO 19, RIMOTI 42 NA WAYA, MBEYA.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]