MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA CHUNYA AWAAGA TIMU YA WACHEZAJI CHUNYA DC
Автор: Halmashauri ya Wilaya ya Chunya
Загружено: 2025-08-14
Просмотров: 63
Описание:
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, ndugu Tamim Kambona amewaaga wachezaji wa timu ya Halmashauri ya Wilaya ya Chunya leo Agosti 14, 2025 katika viunga vya Halmashauri.
Timu ya Wachezaji kutoka Wilaya ya Chunya inaelekea Mkoani Tanga kushiriki mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa inayotarajiwa kutimua vumbi jijini Tanga Agosti 15 - 29, 2025.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: