Kijiji Handeni cha saini mkataba wa milioni 120 na kampuni ya uchimbaji madini
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-08-22
Просмотров: 512
Описание:
Zaidi ya wananchi 150 wanatarajiwa kupata ajira baada ya uongozi wa Mgodi wa Kwandege kusaini mkataba na kijiji hicho wa kufanya shughuli za uchimbaji madini.
Akiongea na wananchi baada ya kushuhudia kusainiwa kwa mkataba huo,mkuu wa wilaya ya Handeni Albert Msando amesema,kijiji kitapata shilingi milioni 120 kwa mwaka kutokana na mkataba huo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: