BIMA PODCAST EPISODE 3 / MADAI YA BIMA
Автор: MGEN TANZANIA INSURANCE COMPANY
Загружено: 2023-10-12
Просмотров: 63
Описание:
🛡️ Jiunge nasi katika safari ya ulimwengu wa bima na Mgeni / mtaalamu wetu wa Bima Afisa Mkaguzi mkuu wa Bima, MGen Tanzania, Mr Baraka Benny .
Kipindi chetu cha tatu kinacholenga zaidi kueneza uelewa wa " Mambo muhimu yakuzingatia ili kuepusha usumbufu wakati wa madai " kitakujia siku ya Alhamisi hii saa 8:00 Usiku.
Jitayarishe kuzama ndani zaidi kufahamu aina, uchanganuzi na gharama za bima na yale yote ya muhimu unapaswa kuzingatia ili unapodai madai yako yasiwe na changamoto yoyote kwani tunajua zoezi la madai lina utatata sana endapo mteja asipopata mwanga kuhusu sheria zake
Subscribe kwenye chaneli yetu ya YouTube na tufate kwenye mitandao yetu ya kijamii kutazama na kusikiliza usikose!
#BimaPodcast #insuranceclaims
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: