BIMA PODCAST - EPISODE 4 - FAIDA ZA INSURANCE BROKERS KWA WATUMIAJI WA BIMA
Автор: MGEN TANZANIA INSURANCE COMPANY
Загружено: 2023-10-19
Просмотров: 139
Описание:
Jiunge nasi tukiwa na Mgeni wetu Mkurugenzi Mtendaji, Homan Insurance Brokers, Hodhan Mohamed
Kipindi chetu cha nne kinacholenga zaidi kueneza uelewa wa " Umuhimu wa Insurance Brokers kwa watumiaji wa bima " kitakujia siku ya Alhamisi hii saa 8:00 Usiku.
Jitayarishe kuzama ndani zaidi kufahamu aina, uchanganuzi na gharama za bima na yale yote ya muhimu unapaswa kuzingatia ili kupata msaada wa kina wa bima ukiwa mtaani kwako
Subscribe kwenye chaneli yetu ya YouTube na tufate kwenye mitandao yetu ya kijamii kutazama na kusikiliza usikose!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: