MZAZI MWAMBIE MWANAO MAMBO HAYA
Автор: Success Path Network
Загружено: 2020-07-04
Просмотров: 12058
Описание:
Mwambie mwanao mambo haya ni somo maalum lililoandaliwa kumfahamisha kila mzazi juu ya mambo matano muhimu sana anatakiwa kuhakikisha anamueleza mtoto/ watoto wake ili kumuandaa vizuri katika ulimwengu huu ambao maisha yake ni sawa na vita yaani mapambano kila kukicha na ushindi pekee katika vita hii ni kiwango cha maarifa utakayokuwa nayo. Na somo hili bila shaka linaweza kuwa maandalizi mazuri kwa mwanao kuwa na maarifa sahihi.
.
POINT KADHAA KWENYE SOMO HILI:
(1:21) - Shule pekee haitoshi kumfanikisha.
(1:30) - Anaweza akawa mwanafunzi bora wa masomo ya fedha lakini haimaanishi atatengeneza fedha kuliko wengine.
(1:46) - Maisha yanahitaji zaidi ya uelewa wa darasani
(1:55) - Azingatie sana afya yake.
(2:05) - Akumbuke kipaji alichonacho.
(2:27) - Azingatie muda
(2:51) - Atafute kusudi lake la kuwepo duniani.
(3:29) - Nidhamu muhimu
Na mengine mengi sana....
.
Somo hili linaendeshwa na mwalimu Victor Mwambene ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM).
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kutuachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
TUFUATE MITANDAONI
:
.
VICTOR MWAMBENE
INSTAGRAM: / victor_mwam. .
FACEBOOK: / victor.mwamb. .
.
EZDEN JUMANNE
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
KWA BIASHARA NA MATANGAZO
Tuma email hapa:
[email protected]
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Mzazi #Mwambie #Mwanao
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: