ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING

Автор: Success Path Network

Загружено: 2020-10-05

Просмотров: 59169

Описание: Mtazamo au mawazo chanya vinaweza kukuongoza katika mambo mengi sana ya maendeleo katika maisha yako.
.
Lakini maisha yana juu na chini kuna hali yaweza kutokea ukashindwa kuwa mtazamo sahihi au mawazo chanya.
.
Kwahiyo ni lazima kuwa mlinzi wa mawazo na mtazamo wako wakati wote kwani gharama ya kukutana na athari ya mawazo hasi (negative thinking) ni kubwa sana.
.
Kuna mambo 10 hapa unaweza fanya kuhakikisha unakuwa na mawazo chanya siku zote:
.
1- Kuwa na watu sahihi wanaokuzunguka
2- Kubali kosa ukifanya na badilika
3- wapongeze wengine wakifanya vizuri.
4- Jijali/ Jipende.
5- Shukuru kwa yale uliyonayo
6- Jione wewe ni mshindi kila siku
7- Kila siku fanya kitu kuhusu malengo au ndoto yako
8- Soma vitabu au makala zenye kukupa nguvu na shauku ya kuwa bora zaidi
9- Saidia wengine au shiriki shughuli za kijamii
10- Usiache ibada kila siku
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuacha mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
TUFUATE INSTAGRAM:
SPN CHANNEL:   / successpath_network  
EZDEN JUMANNE:   / ezdenjumanne  
DR. ISRAEL:   / drisraelofficial  
.
BIASHARA, MATANGAZO NA VITABU:
EMAIL: [email protected]
WHATSAPP : (+255)759191076
.
#Positive #Thinking #SPN

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE

MAMBO 10 YA KUKUSAIDIA KUSHINDA TATIZO LOLOTE LILE

Fanya Haya 03 Kujitofautisha Kwenye Dunia Ya Mabadiliko Na Dr Joel Nanauka

Fanya Haya 03 Kujitofautisha Kwenye Dunia Ya Mabadiliko Na Dr Joel Nanauka

TANZANIA VS KENYA ONLINE WAR GOES VIRAL AFTER KENYANS DESTROYS THEM BADLY

TANZANIA VS KENYA ONLINE WAR GOES VIRAL AFTER KENYANS DESTROYS THEM BADLY

FAHAMU TABIA 13 ZA WATU WASIO NA FURAHA

FAHAMU TABIA 13 ZA WATU WASIO NA FURAHA

Hii Ndio Siri Ya Kufanikiwa Katika Maisha - Dr Ellie VD Waminiani

Hii Ndio Siri Ya Kufanikiwa Katika Maisha - Dr Ellie VD Waminiani

Imani Yako Inaweza Kukupa Kila Kitu au Kukunyima Kila Kitu

Imani Yako Inaweza Kukupa Kila Kitu au Kukunyima Kila Kitu

SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.

SIFA 10 ZA WATU WANAOFANIKIWA KWENYE MAISHA | Victor Mwambene.

MAZINGIRA YANAVOBADILI MTAZAMO ULIYONAYO - JOEL NANAUKA

MAZINGIRA YANAVOBADILI MTAZAMO ULIYONAYO - JOEL NANAUKA

MAMBO 10 YA KUACHA KWENYE MAISHA

MAMBO 10 YA KUACHA KWENYE MAISHA

Tabia 4 Zinazokupeleka Kwenye Mafanikio ya Kifedha.

Tabia 4 Zinazokupeleka Kwenye Mafanikio ya Kifedha.

JINSI YA KUONGEZA UPEO WA AKILI

JINSI YA KUONGEZA UPEO WA AKILI

USIFUPISHE MAISHA YAKO KWA KUFANYA MAMBO HAYA

USIFUPISHE MAISHA YAKO KWA KUFANYA MAMBO HAYA

MAMBO 8 YATAKAYOBADILISHA MAISHA YAKO

MAMBO 8 YATAKAYOBADILISHA MAISHA YAKO

Uchambuzi Wa Kitabu cha Think And Grow Rich (Hillary Mrosso & Fadhil Kirundwa)

Uchambuzi Wa Kitabu cha Think And Grow Rich (Hillary Mrosso & Fadhil Kirundwa)

Kanuni 3 za Fedha zitakazokupa Mafanikio Ukizitumia - Joel Nanauka

Kanuni 3 za Fedha zitakazokupa Mafanikio Ukizitumia - Joel Nanauka

TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO

TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO

RICH DAD POOR DAD | Mambo 12

RICH DAD POOR DAD | Mambo 12

JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UTAKACHO MAISHANI

JINSI YA KUPATA CHOCHOTE UTAKACHO MAISHANI

MAMBO 6 YA KUFANYA WATU WAKUPENDE ZAIDI

MAMBO 6 YA KUFANYA WATU WAKUPENDE ZAIDI

EPUKA  HAYA KWENYE  ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA

EPUKA HAYA KWENYE ENEO LA KAZI - JOEL NANAUKA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]