ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

NAIBU WAZIRI CHUMI APOKEA MSAADA WA TENDE TANI 75 KUTOKA SAUDI ARABIA.

Автор: MFA_Tanzania

Загружено: 2025-02-19

Просмотров: 329

Описание: Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi (Mb) kwa niaba ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amepokea msaada wa tende tani sabini na tano (75) kutoka kwa serikali ya Saudi Arabia, katika hafla iliyofanyika ofisi ndogo za wizara jijini Dar es Salaam Februari 19, 2025.

Mhe. Chumi amesema msaada huo umekuja katika kipindi muafaka kwani ni kipindi ambacho tunaelekea kwenye mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na kuongeza kuwa katika msada huo wa tani 75, tani 50 zitagawanywa Tanzania Bara na tani 25 zitagawiwa Visiwani Zanzibar.

Aidha Mhe. Naibu Waziri Chumi ameongeza kuwa Saudi Arabia imekuwa mshirika na rafiki mkubwa wa Tanzania kwani ukiachilia mbali msaada huu wa tende, yapo mengi ambayo yanafanywa na Saudi Arabia hapa nchini, kama vile mwaka jana 2024 ilikuja timu ya wataalam wa afya na kutoa matibabu bure kwa watoto zaidi ya watoto 70 na wengine 25 kutoka familia za kawaida kufanyiwa upasuaji wa moyo kwenye kituo cha Magonjwa ya Moyo JKCI, huku mwezi mei mwaka huu 2025 wakitarajiwa kuwasili Madaktari na Wataalamu wengine kwaajili ya kuendelea kutoa msaada wa matibabu.

Msaada huo umewasilishwa na Balozi wa Saudi Arabia hapa nchini Mhe. Yahya Al Okeish, kwa niaba ya Mfalme wa Saudi Arabia Mhe. Salman bin Abdulaziz Al Saud.

Akizungumza wakati wa kukabidhi msaada huo Mhe. Balozi Okeish amesema siku zote serikali ya Saudi Arabia imekuwa mstari wa mbele kutoa misaada mbalimbali kwa nchi mbalimbali zenye uhitaji duniani kote, huku akiishukuru serikali ya Tanzania kwa jinsi ambavyo wamefanikisha kupokelewa kwa msaada huu.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NAIBU WAZIRI CHUMI APOKEA MSAADA WA TENDE TANI 75 KUTOKA SAUDI ARABIA.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

RAIS SAMIA AHIMIZA USHIRIKIANO KUINUA TASNIA YA KAHAWA AFRIKA

RAIS SAMIA AHIMIZA USHIRIKIANO KUINUA TASNIA YA KAHAWA AFRIKA

SERIKALI YAFANIKIWA KUWARUDISHA WATANZANIA WENGINE 13 KUTOKA NCHINI IRAN.

SERIKALI YAFANIKIWA KUWARUDISHA WATANZANIA WENGINE 13 KUTOKA NCHINI IRAN.

Mają panele, pompę ciepła i magazyn energii. Grzeją się przy kominku

Mają panele, pompę ciepła i magazyn energii. Grzeją się przy kominku

Kim był Jan Kulczyk z pochodzenia? Sekret najbogatszego Polaka!

Kim był Jan Kulczyk z pochodzenia? Sekret najbogatszego Polaka!

IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO

IRELAND WAICHAGUA TANZANIA KUWA MAKAO MAKUU YAKE YA KIBIASHARA BARANI AFRIKA - MHE. THABIT KOMBO

Piestime 📲 - Pełne Odcinki 📺 | Seria 3 💙 | Blue - oficjalny polski kanał

Piestime 📲 - Pełne Odcinki 📺 | Seria 3 💙 | Blue - oficjalny polski kanał

TANZANIA NA MISRI KUKUZA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI

TANZANIA NA MISRI KUKUZA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA NA UWEKEZAJI

UZINDUZI WA SERA YA MAMBO YA NJE 2001, TOLEO LA MWAKA 2024 - DAR ES SALAAM, TANZANIA

UZINDUZI WA SERA YA MAMBO YA NJE 2001, TOLEO LA MWAKA 2024 - DAR ES SALAAM, TANZANIA

Informacje Telewizja Republika 23.01.2026 godzina 12:30

Informacje Telewizja Republika 23.01.2026 godzina 12:30

MAKATIBU WAKUU WA NCHI ZA SADC WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

MAKATIBU WAKUU WA NCHI ZA SADC WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

PRESIDENT STUBB'S SPEECH AT THE MARTTI AHTISAARI LEGACY SEMINAR

PRESIDENT STUBB'S SPEECH AT THE MARTTI AHTISAARI LEGACY SEMINAR

50. posiedzenie Sejmu - dzień 3. 23 stycznia 2026 r.

50. posiedzenie Sejmu - dzień 3. 23 stycznia 2026 r.

Hołownia: Polska 2050 przekroczyła wszelkie granice ! To niedopuszczalne!

Hołownia: Polska 2050 przekroczyła wszelkie granice ! To niedopuszczalne!

MABALOZI KUVINADI VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA - NAIBU KATIBU MKUU SHAIBU MUSA

MABALOZI KUVINADI VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA - NAIBU KATIBU MKUU SHAIBU MUSA

Żurek wie, że bez oczyszczenia Prokuratury z ludzi Ziobry nie będzie realnej praworządności

Żurek wie, że bez oczyszczenia Prokuratury z ludzi Ziobry nie będzie realnej praworządności

VLOG : MÓJ DRUGI PORÓD! | Andziaks

VLOG : MÓJ DRUGI PORÓD! | Andziaks

WYDAŁEM 30 TYSIĘCY FC POINTS NA CAŁĄ DRUŻYNĘ TOTY!

WYDAŁEM 30 TYSIĘCY FC POINTS NA CAŁĄ DRUŻYNĘ TOTY!

NAIBU WAZIRI LONDO AKICHANGIA HOJA BUNGENI DODOMA

NAIBU WAZIRI LONDO AKICHANGIA HOJA BUNGENI DODOMA

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mheshimiwa Wang Yi alivyowasili jijini Dar es Salaam Januari 09,2026

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mheshimiwa Wang Yi alivyowasili jijini Dar es Salaam Januari 09,2026

NAIBU WAZIRI LONDO APOKEA NAKALA ZA HATI ZA MABALOZI KUTOKA EQUATORIAL GUINEA, KAZAKHSTAN NA TUNISIA

NAIBU WAZIRI LONDO APOKEA NAKALA ZA HATI ZA MABALOZI KUTOKA EQUATORIAL GUINEA, KAZAKHSTAN NA TUNISIA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]