Mawazo Mazuri (ya Biashara) Hayafanikiwi kwa Sababu Hizi 8 | Michael Kamukulu
Автор: LENZI | Michael Kamukulu
Загружено: 2025-05-03
Просмотров: 1250
Описание:
Kwa nini mawazo mazuri hayatoboi?
Umewahi kuwa na wazo bora ambalo linaonekana kuwa na uwezo wa kubadilisha maisha yako, lakini bado halijafikia mafanikio? ungana na Michael Kamukulu kwenye video hii anapofichua ukweli nyuma ya changamoto zinazofanya mawazo mazuri ya biashara na ujasiriamali yasiweze kufanikiwa kama inavyotarajiwa.
Ukweli mchungu ni kwamba, mawazo mazuri pekee hayatoshi kufanikisha ndoto zako za biashara na ujasiriamali.
Kwa nini mawazo mazuri hayatoboi?
1. Wazo sio vitendo – Unaweza kuwa mtaalam wa kubuni, lakini bila kuchukua hatua, ni hadithi tu.
2. Kudhani kwamba wazo zuri lazima liwe gumu – Urahisi mara nyingi ndio malkia!
3. Kujimilikisha mawazo ya wengine – Copy-paste bila ruhusa sio suluhisho.
4. Kuchukulia matokeo ya wengine kama ni rahisi – Kila safari ina changamoto zake.
5. Unapenda wazo, lakini soko halipendi solution yako – Wateja hawadanganyiki!
6. Kukosa ujuzi unaohitajika – Idea + Skills = Execution.
7. Kulipeleka kwa walengwa wasio sahihi – Targeting ni game-changer.
8. Too ahead of time (nje ya nyakati) – Timing ni kila kitu.
Tazama na ujifunze mbinu za kugeuza mawazo kuwa shughuli nenye matokeo
Toa maoni yako: Ni ipi changamoto kubwa inayokuzuia kugeuza mawazo yako kuwa uhalisia?
Subscribe ili kupata videos zaidi za mindset, biashara, na maendeleo binafsi!
***
Jifunze jinsi ya kufanya ili uwe tofauti, na upate fursa na nafasi ya kuinuka na kusimama imara ukiwa kiongozi na mwongoza njia wa maisha yako na kuwa na ushawishi kwa watu wengi. Ungana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu na @lenzimeacademy ili uweze kupata maarifa na ujuzi utakaokubadilisha na kuwa na tabia za watu wenye mafanikio na matokeo makubwa kifedha na kimaisha kwa ujumla. Ni wakati wako kung'ara na kuwa mtu wa thamani zaidi kwa wengine na kwa maisha yako. Utajiri na umasikini vyote viko kwenye nguvu ya tabia, mienendo na maamuzi yako ya kila siku.
———————————————
Wasiliana nasi kwa huduma zaidi ikiwemo:
1. Mafunzo na mwongozo maalum wa kufikia malengo (personal/individual coaching)
2. Mafunzo na mwongozo maalum kwa makundi na taasisi (group coaching)
3. Ushauri wa kitaalam kuhusu maendeleo binafsi (personal development)
Mawasiliano yetu:
Simu: +255 752 465 039
Baruapepe: [email protected]
* *
Pata Kozi Kuhusu jinsi ya kujiajiri na kuongeza kipato kwa kutumia MAUDHUI kwa bei nafuu ya TZS 15,000 tu kupitia hapa https://tr.ee/UTrb-ghbfk
#HatuaMojaMbeleKilaSiku #michaelkamukulu #lenzimindset #lenziacademy
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: