Watu wawili waliohusishwa na uporaji wa simu wauawa na umma jijini Nairobi
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 9723
Описание: Washukiwa wawili waliohusishwa na uporaji wa simu waliuawa na umma hapo jana hapa jijini Nairobi. Wawili hao walihusishwa na genge lililowavamia kwa kutumia bodaboda na kuwapora wapita njia, wakiwemo maafisa wa polisi. Polisi wanasema washukiwa kadhaa wamekamatwa na wanawasaka wengine waliohusishwa na tukio hilo baada ya hafla ya rais William Ruto ya kukagua mradi wa maji taka eneo la Lucky Summer
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: