Mahakama ya Nyeri imemhukumu kifo mwanamme aliyemuua mtoto wa miaka 7
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 3976
Описание: Mahakama kuu ya Nyeri imemuhukumu kifo mwanamume aliyekubali kumbaka na kumuua mtoto wa miaka saba mwaka jana. Jaji Kizito Magare ametoa hukumu hii dhidi ya Nicholas Julius Macharia, akiyataja mauaji ya mtoto Tamara Blessing Kabura kuwa ya kinyama na yalihitaji adhabu ya juu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: