ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MAHARAGE JESCA SULUHISHO LA UDUMAVU NA NGUVU ZA KIUME - IRINGA

Автор: Makutano TV

Загружено: 2023-03-14

Просмотров: 1435

Описание: #udumavu #lishe #maharagejesca

Wananchi wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wamepata hamasa ya kulima zao la maharage aina ya jesca maharage ambayo yana madini aina ya zinc na chuma.

Zao hilo la maharage ya jesca lina linalolimwa kimkakati kwa lengo la kuimarisha lishe na kukabili tatizo la udumavu mkoani humo ambapo takwimu za hivi karibuni zinaonesha asilima 56 ya watoto chini ya umri wa miaka mitano wamedumaa.

Maharage jesca yamepata umaarufu mkubwa katika wilaya ya Mufindi Kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha viini lishe na yanatajwa pia kuongeza nguvu za kiume

" maharage jesca yamepata umaarufu mkubwa katika wilaya ya mufindi Kutokana na kuwa na kiwango kikubwa cha viini lishe na yana uwezo mkubwa wa kumuongezea mtoto uwezo wakufkiri pamoja na nguvu za kiume"
DR.MARRY NDIMBO-Mtafiti wa maharage TARI Uyole.

Aidha Ndugu LUCAS THOMAS- Afisa masoko CARE WWF amesema Serikali na wadau kupitia CARE INTERNATIONAL na Mfuko wa Uhifadhi wa Mazingira Duniani wanaamua kuhamasisha kiimo hicho kwa wananchi wa vijiji 21 vya wilaya ya Mufindi na kuanzisha mashamba darasa hayo ili kuketa suluhisho la kudumu na kukabili tataizo la udumavu

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MAHARAGE JESCA  SULUHISHO  LA UDUMAVU NA NGUVU ZA KIUME - IRINGA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

SOS KUSAIDIA KUBORESHA MAZINGIRA NA USALAMA KWA MAMA MWENYE WATOTO 9 MUFINDI

SOS KUSAIDIA KUBORESHA MAZINGIRA NA USALAMA KWA MAMA MWENYE WATOTO 9 MUFINDI

MAHARAGE YAWAKWAMUA KIUCHUMI WAKULIMA,

MAHARAGE YAWAKWAMUA KIUCHUMI WAKULIMA, "NALIPA ADA, NAJENGA NYUMBA, KILIMO HIKI KINALIPA"...

kilimo Bora Cha maharage - 0622985881

kilimo Bora Cha maharage - 0622985881

Kilimo cha kahawa Tanzania

Kilimo cha kahawa Tanzania

WANAUME 200+ NA VIKUNDI 20+ KUFIKIWA NA ELIMU YA LISHE   IRINGA -MC

WANAUME 200+ NA VIKUNDI 20+ KUFIKIWA NA ELIMU YA LISHE IRINGA -MC

KIPERA SHULE YA MSINGI  KONGWE NA MAPINDUZI YA ELIMU JUMUISHI

KIPERA SHULE YA MSINGI KONGWE NA MAPINDUZI YA ELIMU JUMUISHI

Wakulima Sumbawanga wachekelea, bei ya maharage yapaa

Wakulima Sumbawanga wachekelea, bei ya maharage yapaa

mashine Bora ya kupiga maharage, Tupigie simu no.0622985881

mashine Bora ya kupiga maharage, Tupigie simu no.0622985881

5 культур, которые дают больше корма с акра, чем трава 2

5 культур, которые дают больше корма с акра, чем трава 2

JIFUNZE KILIMO CHA MAHARAGE KUPANDA HADI KUVUNA, MBINU ZA  KUPANDA BILA KULIMA , CHANGAMOTO ZAKE ...

JIFUNZE KILIMO CHA MAHARAGE KUPANDA HADI KUVUNA, MBINU ZA KUPANDA BILA KULIMA , CHANGAMOTO ZAKE ...

Shamba darasa la maharage: siku ya mkulima na sakirp (enabel)

Shamba darasa la maharage: siku ya mkulima na sakirp (enabel)

DKT MPOKI: MBEGU BORA ZA MAHARAGE HUTOA MAVUNO BORA.

DKT MPOKI: MBEGU BORA ZA MAHARAGE HUTOA MAVUNO BORA.

Выращивание помидоров в бутылках на балконе для получения свежих плодов круглый год.

Выращивание помидоров в бутылках на балконе для получения свежих плодов круглый год.

Umwagiliaji na upandaji wa Vitunguu Maji

Umwagiliaji na upandaji wa Vitunguu Maji

150 самых захватывающих видеороликов о работе удивительных машин, инструментов и рабочих, запечат...

150 самых захватывающих видеороликов о работе удивительных машин, инструментов и рабочих, запечат...

Natengeneza Millioni Ishirini kwa Wiki - Kyando

Natengeneza Millioni Ishirini kwa Wiki - Kyando

Maharage ya 'JESKA' yanavyoweza kuwa mkombozi kwa wanaotegemea ndizi Kagera

Maharage ya 'JESKA' yanavyoweza kuwa mkombozi kwa wanaotegemea ndizi Kagera

«Вначале лепили ее с мамой по ночам».Как предприниматель из региона строит бизнес на старых шинах.

«Вначале лепили ее с мамой по ночам».Как предприниматель из региона строит бизнес на старых шинах.

KILIMO CHA MAHARAGE: UPANDAJI, MBOLEA NA UTUNZAJI

KILIMO CHA MAHARAGE: UPANDAJI, MBOLEA NA UTUNZAJI

WANANCHI KUNUFAIKA NA MICHE YA KAHAWA RUUVUMA

WANANCHI KUNUFAIKA NA MICHE YA KAHAWA RUUVUMA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]