DKT MPOKI: MBEGU BORA ZA MAHARAGE HUTOA MAVUNO BORA.
Автор: Radio Mbiu
Загружено: 2020-01-21
Просмотров: 2081
Описание:
Dkt Mpoki Shimwela Mtafiti Mwandamizi kutoka kituo cha utafiti Maruku awataka wakulima na wananchi kwa ujumla kupanda mbegu bora za maharage ili wapate mavuno yaliyo bora hasa wakizingatia aina za maharage ambazo zimefanyiwa utafiti na wataalamu wa zao la maharage,
Amesema hayo leo Mkoani Kagera ambapo wamepokea ugeni kutoka nchi Ishirini ndani na nje ya bara la Afrika katika Utafiti wa zao la Maharage.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: