Mkoa wa Katavi waingia kwenye headline nyingine kubwa.
Автор: Uhondo TV
Загружено: 2018-12-06
Просмотров: 1173
Описание:
Siku kadhaa baada ya Vyombo vya Habari mbalimbali kutangaza bei ya Mahindi Mkoa wa Katavi Kuwa chini , sasa imekuwa juu zaidi ya bei ya mara ya Kwanza.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Soko la Mahindi Mkoani Katavi,na kusema swala hilo limetokana na kufungwa kwa Mipaka ambayo ilikuwa inaingiza mazao hapa Nchini.
Mwenyekiti wa soko la Mahindi Manspaa Mpanda Edson Daudi amesema kupanda kwa bei ya mahindi mkoani humo kunatokana na ongezeko la wanunuzi.
Mbali na hapo baadhi Wakulima wamesema kwamba hali hiyo inafaida kwao lakini kwa upande mwingine inahasara kutokna na baadhi ya wafanyabiashara kufika nakutaka kuuziwa kwa bei ya chini.
Kutokana na baadhi ya Wakulima kutumia usafiri wa Gari Moshi kusafirishia Mahindi msimamizi wa Reli ya Mpanda Vivian Lyambembile amesema kumeongeza kipato kwa Shirika la Reli ya Kati.
Kwa upande wa afisa kilimo msaidizi wa mkoa wa Katavi Elizabeth Mkoli ametoa taadhari kwa wakulima kutokana na mfumuko wa bei kutouza mazao yao kwa ajili ya kujikimu na Chakula.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: