ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

RC KUNENGE AZINDUA KIWANDA KIKUBWA CHA MAGODORO AFRIKA MASHARIKI

Автор: Habari Na Zaidi

Загружено: 2026-03-18

Просмотров: 265

Описание: Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, leo Machi 17, 2026 amezindua rasmi kiwanda kikubwa cha kutengeneza magodoro Afrika Mashariki, hatua inayozidi kuufanya mkoa huo kuwa kitovu cha uwekezaji na viwanda nchini.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Kunenge amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira bora na rafiki kwa wawekezaji ili kuvutia uwekezaji zaidi na kukuza uchumi.

Amesisitiza kuwa Mkoa wa Pwani una umeme wa kutosha kutoka Bwawa la Mwalimu Nyerere, huku hatua za usafirishaji wa umeme huo zikiendelea kuboreshwa.

Kwa upande wa miundombinu, amesema uwepo wa bandari, gesi asilia na reli ya kisasa (SGR) unaongeza urahisi wa usafirishaji na kufungua masoko mapana zaidi.

“Bagamoyo kuna ujenzi wa gati 38, ambapo gati 3 tayari zimeanza kujengwa. Pia kuna reli ya kisasa kutoka Bagamoyo hadi Kwala inayounganisha nchi nane, na sasa nchi ya tisa imeongezeka—hii itarahisisha upatikanaji wa masoko,” amesema Kunenge.

Aidha, amesema katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, jumla ya viwanda 301 vimejengwa:
Vikubwa: 121, Vya kati: 114 na Vidogo: 66 Hivyo kufikisha jumla ya viwanda 1,688 hadi sasa.

Pwani inaendelea kuthibitisha kuwa kitovu kipya cha viwanda na biashara Afrika Mashariki!

#RC_Kunenge #Pwani #Bagamoyo #Tanzania #BongoNews #Habari #Viwanda #Uwekezaji #Maendeleo #Biashara #SGR #Bandari #NyerereDam
#TrendingNow #ViralNews #ExplorePage #FYP #ForYou #InstaNews #BreakingNews #AfricaRising #EastAfrica #BusinessNews #Economy #InvestInAfrica #MadeInAfrica #Entrepreneurship #BigMoves #OnTheRise #ViralPost

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
RC KUNENGE AZINDUA KIWANDA KIKUBWA CHA MAGODORO AFRIKA MASHARIKI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

BREAKING: Pwani Kuzalisha Mboga na Matunda Kulisha Dar na Zanzibar – Waziri Chongolo Afunguka...

BREAKING: Pwani Kuzalisha Mboga na Matunda Kulisha Dar na Zanzibar – Waziri Chongolo Afunguka...

PM Modi LIVE In Rajya Sabha: Farewell Speech For Retiring MPs | Rajya Sabha LIVE

PM Modi LIVE In Rajya Sabha: Farewell Speech For Retiring MPs | Rajya Sabha LIVE

Напали на Иран. Уничтожили весь мир.

Напали на Иран. Уничтожили весь мир.

Pete Hegseth and Gen. Dan Caine address press at Pentagon, Washington

Pete Hegseth and Gen. Dan Caine address press at Pentagon, Washington

Пасков: Чем обернётся провал США в Ормузском проливе?

Пасков: Чем обернётся провал США в Ормузском проливе?

Mark Cuban's mission to shore up America's drug supply chain

Mark Cuban's mission to shore up America's drug supply chain

⚡️Эти СЛОВА Зеленского ОБСУЖДАЮТ ВСЕ! Лавров ОЗВУЧИЛ ЖЕСТКИЙ ПРИКАЗ Москвы по Украине. Важное 18.03

⚡️Эти СЛОВА Зеленского ОБСУЖДАЮТ ВСЕ! Лавров ОЗВУЧИЛ ЖЕСТКИЙ ПРИКАЗ Москвы по Украине. Важное 18.03

Rais Samia Atunukiwa Tuzo na Wanawake Pwani...

Rais Samia Atunukiwa Tuzo na Wanawake Pwani...

PRZEKAZ DNIA: EUROPEJSKI PRZEMYSŁ UMIERA, MILIONY GIERTYCHA I GAZ, ROPA I WOJNA

PRZEKAZ DNIA: EUROPEJSKI PRZEMYSŁ UMIERA, MILIONY GIERTYCHA I GAZ, ROPA I WOJNA

CZARNEK OSTRZEGA:

CZARNEK OSTRZEGA: "Zostaliśmy poszkodowani przez unijny haracz!" | Gość Dzisiaj

💥АСЛАНЯН: ВСЁ! В РФ начался НАСТОЯЩИЙ АД. Москвичи НА ГРАНИ БУНТА. Путин В АУТЕ: Москва ПОД УДАРОМ

💥АСЛАНЯН: ВСЁ! В РФ начался НАСТОЯЩИЙ АД. Москвичи НА ГРАНИ БУНТА. Путин В АУТЕ: Москва ПОД УДАРОМ

Rząd Tuska zadłuża Polskę na miliard złotych dziennie! | A. Klarenbach

Rząd Tuska zadłuża Polskę na miliard złotych dziennie! | A. Klarenbach

🔥 MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025 | UZINDUZI MKOA WA PWANI | WILAYA 7, HALMASHAURI 9...

🔥 MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025 | UZINDUZI MKOA WA PWANI | WILAYA 7, HALMASHAURI 9...

MBUNGE KOKA ATEKELEZA ILANI YA CCM JIMBO LA KIBAHA MJINI 2020-2025...

MBUNGE KOKA ATEKELEZA ILANI YA CCM JIMBO LA KIBAHA MJINI 2020-2025...

⚡️ Окружение с трёх сторон началось || Крупнейший в мире объект поражён

⚡️ Окружение с трёх сторон началось || Крупнейший в мире объект поражён

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 19.03.2026 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 19.03.2026 | TV Republika

ПАНИКА В ДУБАЕ! Опустошённые Западные Туристы Бегут из Дубая: «Мы НИКОГДА не вернёмся!»

ПАНИКА В ДУБАЕ! Опустошённые Западные Туристы Бегут из Дубая: «Мы НИКОГДА не вернёмся!»

😮ТРАМП НЕ ЖДАЛ! ФЕЙГИН: В ИРАНЕ все резко ПОМЕНЯЛОСЬ: неожиданный ПОВОРОТ. Вот что дальше

😮ТРАМП НЕ ЖДАЛ! ФЕЙГИН: В ИРАНЕ все резко ПОМЕНЯЛОСЬ: неожиданный ПОВОРОТ. Вот что дальше

UZINDUZI MPANGO WA KUHIFADHI MISITU NA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI...

UZINDUZI MPANGO WA KUHIFADHI MISITU NA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI...

ИРАНСКИЙ КАПКАН: ПОЧЕМУ США НЕ СМОГУТ СЛОМАТЬ ИРАН - Аналитический обзор

ИРАНСКИЙ КАПКАН: ПОЧЕМУ США НЕ СМОГУТ СЛОМАТЬ ИРАН - Аналитический обзор

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]