MAENDELEO YA UJENZI WA SHULE YA MSINGI YA 'ENGLISH MEDIUM' KIBASILA YA GHOROFA TANO
Автор: TMC TV
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 49
Описание:
Karibu kutazama maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Msingi ya English Medium Kibasila, jengo la kisasa la ghorofa tano linaloendelea kujengwa Manispaa ya Temeke kwa viwango vya hali ya juu.
Katika video hii, tunakuonesha hatua mbalimbali za ujenzi, ubora wa kazi unaoendelea, pamoja na miundombinu inayotarajiwa kuboresha mazingira ya kujifunzia kwa wanafunzi wetu. Mradi huu ni sehemu ya juhudi za kuinua sekta ya elimu na kuhakikisha watoto wanapata mazingira salama, bora na ya kisasa ya kujifunza.
Endelea kufuatilia ili kuona mabadiliko makubwa yanavyoendelea kila siku.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: