MAAFISA BAJETI WA IDARA NA VITENGO WANOLEWA JUU YA UANDAAJI WA MIPANGO NA BAJETI
Автор: TMC TV
Загружено: 2025-11-27
Просмотров: 39
Описание:
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kupitia Idara ya Mipango na Uratibu leo Novemba 27, 2025 imetoa Mafunzo kwa Maafisa Bajeti kutoka Idara na Vitengo vyote katika Manispaa hii juu ya uandaaji wa Mipango na Bajeti katika Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa 2025/2026.
Maafisa hao wamepata Elimu juu ya Umuhimu wa uandaaji wa mipango na Bajeti ya Serikali, Asili ya Mpango na Bajeti, Hatua za uandaaji wa mipango na bajeti, Masuala ya kuzingatia wakati wa uandaaji wa Mipango na Bajeti ikiwemo maelekezo ya mwongozo wa uandaaji wa bajeti unaotolewa kila mwaka na Wizara ya fedha.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: