ALFA NA OMEGA - A. MUYONGA
Автор: Mt. Theresia wa Mtoto Yesu
Загружено: 2022-11-13
Просмотров: 5827
Описание:
Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu
Wimbo: ALFA NA OMEGA
Mtunzi: A. MUYONGA
Kinanda: B. NTURAMA
Audio: BANALLY
Video: APEX STUDIO
Bwana ni Alfa na Omega, ni Mwanzo na Mwisho, Melodia nzuri iliyobeba ujumbe mzuri. Karibu tuutazame wimbo wetu wa kwanza kutoka kwenye Album yetu ikujiayo kwa jina la NDUGU WAKAE PAMOJA wimbo wenye mahadhi ya yetu hapa nchini.
Karibu utuunge mkono kwa kununua kazi yetu hii pendwa ikiwa katika DVD na Flash.
Pia ungana nasi katika kuinjilisha kupitia wimbo huu kwa ku-subscribe, ku-share na ku-comment upate update mbalimbali kutoka kwenye Album yetu ya NDUGU WAKE PAMOJA.
Wasiliana nasi kupita: -
0659 162 386 / 0712 180 323
#jubilee #alfa #omega
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: