SHUKRANI YANGU KWAKO By David B. WASONGA
Автор: Mt. Theresia wa Mtoto Yesu
Загружено: 2025-03-17
Просмотров: 865
Описание:
Kwaya ya Mt. Theresia wa Mtoto Yesu kutoka Jimbo Katoliki Morogoro wakiimba Live wimbo wa Shukrani yangu kwako utunzi wa Wasonga katika hafla fupi iliyofanyika baada ya Misa Takatifu. Kwaya ya Mt. Fransisco kutoka Mkuranga Jimbo Kuu la Dar es Salaam walitembelea Kwaya ya Mt. Theresia.
Ungana nasi katika utume huu wa kumtukuza Mungu kwa njia ya Uimbaji kwa kutazama video hii na sambaza bila kusahau ku-subscribe , ku-comment na ku-share video hii ili iwafikie waamini wengi zaidi.
Tazama ilivyo vema na kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja.
#music #live #video
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: