WASIMAMIZI WA MRADI, WAKAMATWA NA POLISI "WAKAMATE WOTE" - JUMA AWESO
Автор: Global TV Online
Загружено: 2020-01-24
Просмотров: 3005
Описание:
WASIMAMIZI WA MRADI, WAKAMATWA NA POLISI "WAKAMATE WOTE" - JUMA AWESO
Naibu waziri wa Maji Jumaa Aweso,ameagiza kukamatwa kwa Msimamizi wa Mradi wa Maji Shimbi Mashariki,uliopo Wilaya ya Rombo, Godson Josea,pamoja na Mhandisi wa Mradi huo Thomas Amos,ambao ni wafanyakazi wa Kampuni ya HecoSan Mark.
Ametoa agizo hilo leo baada ya kutembelea mradi huo,na kushuhudia ukiwa umesimama,huku wananchi wakilalamikia upatikanaji wa huduma hiyo.
#Rombo
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982)
( +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:https://www.youtube.com/playlist?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:https://www.youtube.com/playlist?list...
GLOBAL RADIO TV:https://www.youtube.com/playlist?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:https://www.youtube.com/playlist?li
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: