Naibu Waziri Aweso amuweka ndani Mhandisi wa maji Pangani
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-12-13
Просмотров: 2491
Описание: Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani Pangani mkoani Tanga kumweka ndani mhandisi wa maji wa wilaya hiyo, Novat Wilson akimtuhumu kushindwa kusimamia na kukamilisha kwa wakati mradi wa maji Mseko uliopo Kata ya Ubangaa ambao ulitakiwa kukamilika mwezi Septemba mwaka huu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: