TUTARAJIE NINI TAIFA STARS KWA MKATABA WA GAMONDI?
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 25
Описание:
“Kwa huu mkataba mpya wa miaka miwili unatarajia kuona maingizo mapya kwenye kikosi lakini hata zikiendelea kuwepo zile ambapo tumezoea kuziona hata kwenye AFCON” sehemu ya maneno ya Azimu Kanshorora Mchambuzi wa michezo akizungumza katika #Ulive kuhusu Miguel Gamondi kusaini mkataba wa miaka miwili timu ya Taifa, Taifa Stars.
#Ufmupdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: