UMUHIMU WA KUWASILISHA TAARIFA ZA WAMILIKI MANUFAA WA KAMPUNI
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 20
Описание:
Ofisa usajili wa wakala wa usajili wa biashara na leseni BRELA Lumambo Shiwala amesema wamiliki manufaa ni watu ambao wako nyuma ya wanahisa na kunufaika na hisa ikiwa hawapo kwenye nyaraka za usajili wa kampuni.
Shiwala amesema hayo katika #MorningExpress akizungumzia umuhimu wa kuwasilisha taarifa za wamiliki manufaa wa kampuni BO kwa msajili.
#Ufmupdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: