MISA YA SHUKRANI YA PD. GODFREY JOSEPH KUTOKA PAROKIA YA ROHO MTAKATIFU K/MANGO JIMBO KATOLIKI MOSHI
Автор: St. Anthony's Cathedral Tanga
Загружено: 2024-12-15
Просмотров: 4873
Описание:
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani ya Padre Godfrey Patrick Joseph kutoka Parokia ya Roho Mtakatifu Kibosho Mango - Jimbo Katoliki Moshi tarehe 16.12.2024 kuanzia saa nne kamili Asubuhi (04:00).
Misa hiyo inatarajiwa kuongozwa na Padre Godfrey Joseph.
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777
[email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: