MISA TAKATIFU YA UBATIZO WA BWANA KUTOKA KANISA KUU LA MT. ANTHONY WA PADUA- JIMBO KATOLIKI TANGA
Автор: St. Anthony's Cathedral Tanga
Загружено: 2026-01-10
Просмотров: 744
Описание:
Mpendwa mtazamaji wetu wa ST. ANTHONY'S CATHEDRAL TANGA karibu katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Ubatizo wa Bwana kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Anthony wa Padua - Chumbageni, Jimbo Katoliki Tanga tarehe 11.01.2026 kuanzia saa kumi na mbili na nusu Asubuhi (12:30).
Sadaka ya Misa Takatifu inatolewa na Padre Paul Samweil Semng'indo Paroko wa Kanisa Kuu na Homilia inatolewa na Padre Godfrey Joseph Mushi Paroko Msaidizi wa Kanisa Kuu.
Jiunge nasi kwa KUSUBSCRIBE Channel yetu ya St. Anthony's Cathedral Tanga ili uweze kupata Taarifa na Matukio Mbalimbali MUNGU AKUBARIKI SANA.
&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&&
Karibu Mpendwa katika kitengo hiki cha habari kinachomilikiwa na Kanisa Kuu la Mt. Anthony wa Padua Chumbageni Tanga. Pia unaweza kutufuatilia katika mitandao ya kijamii
INSTAGRAM:- st.anthony'scathedraltanga
FACEBOOK:-st.anthony'scathedraltanga
TIKTOK:-st.anthony'scathedraltanga
Mawasliano:-
St. Anthony's Cathedral Tanga Media
S.L. P 84 Tanga,
0672 350 777
[email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: