Kijana wa miaka 13 apigwa risasi na kuuawa Kiamaiko, Huruma
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2020-03-31
Просмотров: 166960
Описание: Jioni ya leo, maafisa wa polisi bado wanasalia kwenye darubini kufuatia mauaji ya kijana wa miaka 13 aliyepigwa risasi akiwa kwenye roshani ya nyumba yao katika eneo la Kiamaiko mtaani Huruma hapa Nairobi. Yassin Hussein alikuwa akifuatilia yaliyokuwa yakiendelea nje wakati wa oparesheni ya kuhakikisho agizo la kutotoka nje usiku linatimizwa. Huku uchunguzi ukiagizwa kufanywa, mwanahabari wetu Gatete Njoroge amehudhuria mazishi ya kijana huyo aliyetarajiwa kufanya mtihani wa KCPE mwaka huu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: