MIKOPO YA ASILIMIA 10 YALETA FURAHA KWA VIJANA CHUNYA
Автор: Halmashauri ya Wilaya ya Chunya
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 73
Описание:
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Chunya ambaye pia ni Mweka Hazina wa Wilaya ya Chunya Rajabu Lingoni amewahimiza wanufaika wa mikopo ya asilimia kumi iliyotolewa na Halmashauri ya Chunya kupitia mapato yake ya ndani kufanya kazi kwa bidii ili kurejesha mkopo huo kwa wakati.
"Mfanye mchezo, mkafanye kazi huku mukifahamu kuwa munatakiwa kurejesha fedha tulizowakopesha ili kuwapa fursa vijana, wanawake wa makundi maalum nayo waweze kunufaika na mikopo hii" amesema Lingoni.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: