ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

JOLLOF RICE -KISWAHILI

Автор: Aroma Of Zanzibar & Beyond

Загружено: 2019-03-21

Просмотров: 45702

Описание: Pesti ya Pilipili boga na Nyanya

Nyanya za kiasi 2
Pilipili boga nyekundu 3
Kitunguu 1 kikubwa
Pilipili ya kuwasha (Kama utapenda)
Chembe 8 za kitunguu thom ( kama utapenda)
Tangawizi mbichi kiasi

Curry Powder
Mbegu za giligilani vjk 2 vidogo
Mbegu za rai/haradari kjk 1 kidogo
Bizari nzima /uzile Kjk 1 kikubwa
Bizari tamu nusu 1/2 kjk kidogo
Pilipili manga nzima kjk 1 kikubwa
Karafuu nzima nusu ½ kjk kidogo
Hiliki nzima Kjk 1 kikubwa
Mdalasini vijiti 2 au ya unga kjk 1 na ½
Tangawizi ya unga kjk 1 kidogo
Bizari ya manjano kjk 1 kidogo
Pilipili ya unga kjk 1 kidogo
Pilipili ya paprika kjk 1 kidogo
Kungumanga ya unga robo ¼ kidogo

Mahitaji ya wali

Vijiko 2 vikubwa mafuta ya kupikia
Kitunguu 1 cha kiasi kilokatwa (gawanya x 2)
Majani 2 bay leaf makavu
majani ya saatari mabichi au makavu Kjk 1
Bizari za mchuzi kjk 1 na ½ mpka 2
Tangawizi mbichi ya kusaga Kjk 1 kikubwa
Paste ya pilipili boga na nyanya kikombe 1 ¼
Nyanya nzito ya mkebe kjk 1 na ½ kikubwa
Vikombe 2 ½ mpka 3 vya supu ya kuku ilokolea
Vikombe 2 mchele
Chumvi kiasi

Aroma of Zanzibar social media
  / fathiya.ismail  
  / aromaofzanzibar  

Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...

Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...

Music courtesy   / contemplative-middle-east-oud-improvisation  

This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
JOLLOF RICE -KISWAHILI

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Biriani/Biriyani ya Zanzibar - Kiswahili

Biriani/Biriyani ya Zanzibar - Kiswahili

PILAU/WALI WA KABULI - KISWAHILI

PILAU/WALI WA KABULI - KISWAHILI

Jinsi ya kupika vitumbua vya mchele laini na vitamu  | Soft mini rice cake recipe

Jinsi ya kupika vitumbua vya mchele laini na vitamu | Soft mini rice cake recipe

Jinsi ya kupika jollof rice mtamu sana ( Wali wa nchi za Africa Magharibi)

Jinsi ya kupika jollof rice mtamu sana ( Wali wa nchi za Africa Magharibi)

KUKU WA KUPAKA - KISWAHILI

KUKU WA KUPAKA - KISWAHILI

Как приготовить бириани суахили | Шеф-повар Али Мандри

Как приготовить бириани суахили | Шеф-повар Али Мандри

Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za ki morocco | Flaky chapati recipe

Jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za ki morocco | Flaky chapati recipe

КАК ПРИГОТОВИТЬ ЛЕГКИЕ ЗАНЗИБАРСКИЕ КЕКСЫ САМБУСА

КАК ПРИГОТОВИТЬ ЛЕГКИЕ ЗАНЗИБАРСКИЕ КЕКСЫ САМБУСА

WALI WA KABSA WA KUKU

WALI WA KABSA WA KUKU

Сахар в крови сразу падает! Этот рецепт яиц — настоящее сокровище!

Сахар в крови сразу падает! Этот рецепт яиц — настоящее сокровище!

Jinsi ya kupika maandazi/mahamri laini na mambo ya kuzingatia

Jinsi ya kupika maandazi/mahamri laini na mambo ya kuzingatia

Jinsi ya kupika mandi ya nyama nyumbani | Mapishi rahisi

Jinsi ya kupika mandi ya nyama nyumbani | Mapishi rahisi

MKATE WA AJEMI/BWANA - KISWAHILI

MKATE WA AJEMI/BWANA - KISWAHILI

Mapishi ya fried rice ya haraka haraka - Simple and quick fried rice recipe

Mapishi ya fried rice ya haraka haraka - Simple and quick fried rice recipe

Jinsi ya kupika chapati laini sana na za kuchambuka bila kukanda unga sana

Jinsi ya kupika chapati laini sana na za kuchambuka bila kukanda unga sana

Zajazd Polskie Drogi - to miał być najlepszy schabowy? po Kuchennych Rewolucjach/ Oddaszfartucha

Zajazd Polskie Drogi - to miał być najlepszy schabowy? po Kuchennych Rewolucjach/ Oddaszfartucha

BIRIANI YA NYAMA YA MBUZI - KISWAHILI

BIRIANI YA NYAMA YA MBUZI - KISWAHILI

FAMILIA YA BANJO ALIYETEKWA NA MWILI WAKE KWENDA KUWAWA KONDOA WAFUGUKA

FAMILIA YA BANJO ALIYETEKWA NA MWILI WAKE KWENDA KUWAWA KONDOA WAFUGUKA "NI DHAHIRI BANJO AMEUWAWA"

Jinsi ya kupika half cakes za kupasuka

Jinsi ya kupika half cakes za kupasuka

Vitumbua vya kuku - KISWAHILI

Vitumbua vya kuku - KISWAHILI

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]