KUKU WA KUPAKA - KISWAHILI
Автор: Aroma Of Zanzibar & Beyond
Загружено: 2017-06-19
Просмотров: 125375
Описание:
Mahitaji :
Kuku Mzima 1
Pilipili manga ya unga 1/2 kjk kdg
Bizari ya manjano 1/2 kjk kdg
Pilipili ya unga kjk 1 kdg
Unga wa giligilani kjk 1 kdg
Unga wa bizari nzima kjk 1 kdg
Chumvi kiasi
Maji ya ndimu a limao Kijiko 1 1/2 kikubwa
Mafuta ya kupikia kjk 1 kikubwa
Kitungu thom & tangawazi mbichi ya kusaga
kjk 1 kikubwa
Kwa mchuzi
Mafuta ya kupikia kijiko1 1/2 kikubwa
Kitunguu maji nusu
Maji ya ndimu au limao Kijiko 1 1/2 kikubwa
Kitungu thom & tangawazi mbichi ya kusaga
kjk 1 kikubwa
Nyanya 3
Tui jepesi kikombe 1
Tui zito kikombe 1
Bizari zilobakia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: