KATAMBUGA: HAYA HAPA MAPANGO YASIYO YA KAWAIDA KABISA, BINADAMU WA KAWAIDA HAINGII: S01E07
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2019-11-27
Просмотров: 10578
Описание:
Kwa zaidi ya miaka milioni hamsini pango za Amboni zimeendelea kuwepo, lakini ajabu ni kwamba pango namba 7 na pango la Fatuma yamekuwa hatari kufikika
Pango namba 7 ndio lile lenye uvumi wa Mzungu aliyeingia na kugeuka jiwe wakati pango la Fatuma ndio nyumba ya mizimu mikali, Leo Katambuga wanakwenda moja kwa moja kuingia kushuhudia ukweli huo,
JE WATAFANIKIWA ?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: