ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Polisi waimarisha ulinzi mpaka wa Tanzania-Msumbiji

Автор: MTWARA RS

Загружено: 2020-03-30

Просмотров: 4975

Описание: Jeshi la polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama Vimeimarisha ulinzi katika mipaka ya Tanzania ili kuhakikisha wahalifu wanaofanya mauaji na vurugu nchini Msumbiji hawapati nafasi ya kuingia Tanzania.

Hayo yamesemwa leo na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Liberatus Sabas wakati akikagua kikosi maalumu cha kupambana na uhalifu nchini kilichowasili mkoani Mtwara kwa ajili ya kuimarisha ulinzi katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji.

Amesema wahalifu hao wamekuwa wakivamia kambi za jeshi, vituo vya polisi, kuchoma moto na kuchukua silaha nchini Msumbiji na pia wameripotiwa kuvamia benki na kupora fedha huko huko Msumbiji.

“Kule hali si shwali kama ambavyo mmekuwa mkisikia kwenye vyombo mbalimbali vya habari. Sisi kwa kutambua hilo, na kutambua umuhimu wa sisi kama Taifa, na umuhimu wa wananchi wa Tanzania kuwa shwali tumejipanga kuhakikisha tatizo hili haliji huku kwetu.”

Amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa kuwasilisha taarifa za mtu yeyote ambaye wanamtilia shaka.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Polisi waimarisha ulinzi mpaka wa Tanzania-Msumbiji

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

USIPIME: ULINZI MKALI WA MAGUFULI AKIONDOKA KWENYE MKUTANO KAGERA

USIPIME: ULINZI MKALI WA MAGUFULI AKIONDOKA KWENYE MKUTANO KAGERA

MAKOMANDOO WA JESHI LA POLISI MBELE YA IGP SIRRO WAKIONESHA UWEZO WAO

MAKOMANDOO WA JESHI LA POLISI MBELE YA IGP SIRRO WAKIONESHA UWEZO WAO

Karibu watu 80 wameuwawa kaskazini mwa Msumbiji

Karibu watu 80 wameuwawa kaskazini mwa Msumbiji

RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA

RAIS DKT. MAGUFULI AWASIMAMISHA TBA KUJENGA NYUMBA ZA MAGEREZA UKONGA

Kamishina Operesheni na mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania,Atua TUNDUMA

Kamishina Operesheni na mafunzo ya Jeshi la Polisi Tanzania,Atua TUNDUMA "Baada ya Vurugu Kutokea

''MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI UPO SALAMA HIVYO MTWARA IPO SALAMA PIA''._RC MTWARA

''MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI UPO SALAMA HIVYO MTWARA IPO SALAMA PIA''._RC MTWARA

JWTZ Wajiuzulu kutoka Afisini na Kumgeukia Samia Suluhu:Ikulu Tanzania Yatetemeka waanza msako

JWTZ Wajiuzulu kutoka Afisini na Kumgeukia Samia Suluhu:Ikulu Tanzania Yatetemeka waanza msako

Очень сильный боевой вестерн покорил мир | Боевик | Вестерн | Приключения | Фильм

Очень сильный боевой вестерн покорил мир | Боевик | Вестерн | Приключения | Фильм

Mtwara wazindua upuliziaji magari dawa ya kuua KORONA

Mtwara wazindua upuliziaji magari dawa ya kuua KORONA

BBC SWAHILI HALI INAZIDI KUWA TETE MASHARIKI YA KATI

BBC SWAHILI HALI INAZIDI KUWA TETE MASHARIKI YA KATI

Namna ya kuzuia migongano baina ya tembo na binadamu

Namna ya kuzuia migongano baina ya tembo na binadamu

zitazame silaha za jeshi la tanzania hatari zaidi ukanda wa africa vifaru makombora ndege magari

zitazame silaha za jeshi la tanzania hatari zaidi ukanda wa africa vifaru makombora ndege magari

NILITEKWA NA VIKOSI VYA MAHARAMIA WA AL SHABAB SOMALIA NIKITANGAZA UISLAMU, NIKAPITIA MATESO MAKALI

NILITEKWA NA VIKOSI VYA MAHARAMIA WA AL SHABAB SOMALIA NIKITANGAZA UISLAMU, NIKAPITIA MATESO MAKALI

МЕССИНГ НАЗВАЛ 7 СТРАН КОТОРЫЕ ИСЧЕЗНУТ! Вы будете в шоке!

МЕССИНГ НАЗВАЛ 7 СТРАН КОТОРЫЕ ИСЧЕЗНУТ! Вы будете в шоке!

Американцев готовят к долгой войне и жертвам, экстренное предупреждение для американцев

Американцев готовят к долгой войне и жертвам, экстренное предупреждение для американцев

Exploring Kasumulu: The Vibrant Border Connecting Tanzania and Malawi

Exploring Kasumulu: The Vibrant Border Connecting Tanzania and Malawi

Ulinzi wa Raisi Magufuli una tisha ona alipo kuwa anawasili kutokea Dodoma

Ulinzi wa Raisi Magufuli una tisha ona alipo kuwa anawasili kutokea Dodoma

NILIYOYAPITIA GEREZA LA MATESO MSUMBIJI, WANAJESHI KUCHINJA WATU NA KULA KINYESI

NILIYOYAPITIA GEREZA LA MATESO MSUMBIJI, WANAJESHI KUCHINJA WATU NA KULA KINYESI

DC Shaka alaani mauwaji yaliofanywa na baadhi ya wafugaji Kilosa

DC Shaka alaani mauwaji yaliofanywa na baadhi ya wafugaji Kilosa

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

LISSU APATA USHINDI? UMOJA WA MATAIFA WAIKAANGA SERIKALI BILA HURUMA, WAKILI NSHALA ASHINDWA KUVUM..

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]