''MPAKA WA TANZANIA NA MSUMBIJI UPO SALAMA HIVYO MTWARA IPO SALAMA PIA''._RC MTWARA
Автор: HTv Tanzania
Загружено: 2020-09-09
Просмотров: 28492
Описание:
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa leo hii amezungumza na vyombo vya habari na kutoa taarifa kuwa, kutokana na machafuko yaliyopo nchi ya Msumbji kwa upande wa vijiji vinavyoishi katika mpaka huo vipo salama hakuna raia au askari yeyote wa Tanzania aliejeruhiwa au kupoteza maisha. ''Mpaka nin apoongea hakuna raia au askari yeyote kupoteza maisha nivipongeze vyombo vya ulinzi na usalama''_Mkuu wa Mkoa Gelasius Byakanwa.
Pia ametoa wito kwa wakazi wa mpakani kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama kwa watu wanaoingia bila utaraibu maalumu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: