Dar es Salaam yajiandaa kuimarisha bima ya afya kabla ya AFCON 2027
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-03-12
Просмотров: 14
Описание:
Kamati ya msingi ya afya ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeazimia kuandaa mkakati wa kiafya na mazingira kuelekea AFCON 2027, wenye lengo la kuhamasisha wafanyabiashara na wakazi, wanaokadiriwa kufikia zaidi ya milioni tatu, kujiandikisha katika mfuko wa bima ya afya kwa wote ili kuchochea maendeleo endelevu ya taifa.
Akizungumza wakati wa kufunga kikao cha kamati hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Ilala na Mwenyekiti wa Kamati ya Afya Msingi, Edward Mpogolo amesema wameafikiana kuandaa miongozo itakayowezesha wajumbe kuanzia ngazi ya mtaa hadi halmashauri kutekeleza majukumu yao kikamilifu, ikiwemo kuhamasisha wananchi kujiunga na bima ya afya kwa wote.
#AzamTVUpdates
Imeandaliwa na Upendo Michael
Mhariri | John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: