MCA PATRICK MBELE AKIWASALIMIA WACHEZAJI WA LOMA UNITED FC
Автор: Radio Mabingwa
Загружено: 2026-01-05
Просмотров: 23
Описание: Mwakilishi wa Wadi ya Bamburi eneobunge la Kisauni Kaunti ya Mombasa, Patrick Mbele, akiwasalimia wachezaji wa Loma United FC wakati wa mapumziko katika mchezo wa fainali kati ya timu hiyo na Kiembeni Allstars FC kwenye Michuano ya makala ya nne, kuwania taji la Loma Super Cup 2025 iliyopigwa kwenye Uwanja wa Loma, siku ya Jumamosi ya Disemba 27, 2025. Kiembeni Allstars FC waliwacharaza Loma United FC mabao 2-0 na kutwaa taji hilo kwa mara ya tatu mfululizo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: