TAZAMA MAPIGANO YA TAEKWONDO WAVULANA MOMBASA
Автор: Radio Mabingwa
Загружено: 2025-07-19
Просмотров: 251
Описание: Hapa ni mapigano ya timu za wavulana wakati wa mashindano ya mchezo wa Taekwondo yaliyofanyika katika Ukumbi wa Marycliff Tudor Kaunti ya Mombasa nchini Kenya siku ya Jumamosi ya Agosti 12, 2025. Mashindano hayo yalitumika kutafuta kikosi cha timu ya wavulana ya Kaunti ya Mombasa kitakachochuana kwenye mashindano ya Jimbo la Pwani yatakayofanyika Mtwapa Kaunti ya Kilifi siku ya Jumamosi ya Agosti 19, 2025.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: